Search

338 results for Nasra Abdallah :

  1. Patrick: Ni ngumu kumsahau Kanumba

    INAKARIBIA miaka 12 tangu Steven Kanumba ‘The Great Pioneer’ kufariki dunia Aprili 7, 2012, lakini bado anaendelea kuishi kwenye nafasi za wasanii walioibuliwa naye na hata wale waliojitosa...

  2. Dk Cheni awachongea mastaa wasiojali muda kwa mtoa maokoto

    “Waigizaji mastaa hawatashiriki kwenye kazi zangu kwa sababu wamekuwa wasumbufu wa kuchelewa location au kutofika kabisa.

  3. Extra bongo kurudi kivingine, baada ya kupotea miaka  tisa

    Choki ambaye ndio mwanzilishi wa bendi hiyo iliyoanzishwa mwaka 2003, amesema ameamua kuirudisha ili kuendelea kuwapa watu burudani.

  4. Diamond akutanisha watoto wake, Zari aikubali

    Msanii maarufu nchini, Naseeb Abdul ’Diamond Platnumz,’ amewakutanisha kwa mara ya kwanza watoto wake ambao amewapata kutoka kwa mama wawili tofauti.

  5. Johari: Nilifanya mazoezi miaka mitatu bila kuonekana kwa TV

    Dar es Salaam. Msanii wa filamu nchini, Blandina Chagula maarufu Johari, amesema wasanii wengi siku hizi hawana uvumilivu katika kufikia ndoto zao za kuwa wasanii wakubwa. Johari ameyasema hayo...

  6. Davido na mkewe wapata mapacha

    Staa wa mziki, David Adeleke maarufu kam Davido na mpenzi wake Chioma, wamejaliwa kupata watoto pacha ikiwa ni miezi kadhaa imepita tangu wafiwe na mtoto wao wa kwanza. Davido alionekana mwenye...

  7. C.I.N.T kuwanoa wasanii ukusanyaji ‘maokoto’ kwa wanaotumia kazi zao

    Mtandao wa Tasnia Bunifu Tanzania(C.I.N.T), umeanza kuwajengea uwezo wasanii namna ya kuunda kampuni zao za kukusanya mirabaha kwa niaba ya wanachama wao zinazoitwa Collective Management...

  8. Mlimani Orchestra kuadhimisha miaka 45

    Bendi ya Mlimani Park Orchestra inatarajia kufanya tamasha lake la kuadhimisha miaka 45 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1976. Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa bendi Mipango na Matukio, Hassan Msumari...

  9. Wasanii wa muziki waomba kukutana na Rais Samia

    Wasanii wanaounda Shirikisho la Muziki Tanzania (SHIMUTA), wameomba nafasi ya kukutana na Rais Samia Suluhu, kama anavyofanya kwa makundi mengine. Wito huo umetolewa na Rais wa Shirikisho hilo...

  10. UDSM yaoimba CCCC kuwajengea uwanja wa mpira

    Kampuni ya ujenzi ya China Communications Construction Company (CCCC), imeombwa kuwajengea uwanja wa mpira chuo kikuu cha Dar es Salaam jambo litakaposaidia kuongeza shughuli za Utamaduni kwa...

Page 1 of 34

Next